-
Isaya 18:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Wote wataachwa waliwe na ndege wanaowinda wa milimani
Na wanyama wa duniani.
Ndege wanaowinda watawala wakati wa kiangazi,
Na wanyama wote wa dunia watawala wakati wa mavuno.
-