-
Isaya 19:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Na wavuvi wataomboleza,
Wale wanaotupa ndoano ndani ya Mto Nile wataomboleza,
Na wale wanaotandaza nyavu zao juu ya maji watapungua.
-