-
Isaya 19:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Itakuwa ishara na ushahidi kwa Yehova wa majeshi nchini Misri; kwa maana watamlilia Yehova kwa sauti kwa sababu ya wakandamizaji, naye atawapelekea mwokozi, aliye mkuu, ambaye atawaokoa.
-