-
Isaya 20:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Wakaaji wa eneo hili la pwani watasema siku hiyo, ‘Tazama kilicholipata tumaini letu, tulilolikimbilia ili kupata msaada na kuokolewa kutoka kwa mfalme wa Ashuru! Tutaokokaje sasa?’”
-