Isaya 22:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Nanyi mtatengeneza beseni kati ya hizo kuta mbili kwa ajili ya maji ya kidimbwi cha zamani, lakini hamtamtegemea Muumba* wake Mkuu, nanyi hamtamwona Yule aliyeibuni zamani. Isaya Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 22:11 ip-1 236-237 Isaya Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 22:11 Unabii wa Isaya 1, kur. 236-237
11 Nanyi mtatengeneza beseni kati ya hizo kuta mbili kwa ajili ya maji ya kidimbwi cha zamani, lakini hamtamtegemea Muumba* wake Mkuu, nanyi hamtamwona Yule aliyeibuni zamani.