-
Isaya 25:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Kwa maana umelifanya jiji kuwa rundo la mawe,
Mji wenye ngome kuwa magofu yanayoporomoka.
Mnara wa wageni si jiji tena;
Halitajengwa tena kamwe.
-