-
Isaya 25:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Kama joto katika nchi iliyokauka,
Unazikomesha ghasia za wageni.
Kama joto linavyokomeshwa na kivuli cha wingu,
Ndivyo wimbo wa waonevu unavyonyamazishwa.
-