-
Isaya 25:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Na jiji lenye ngome, pamoja na kuta zako ndefu za usalama,
Ataziangusha chini;
Atazibomoa na kuziangusha ardhini, mpaka mavumbini kabisa.
-