-
Isaya 28:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Mtu atamfundisha nani ujuzi,
Na mtu atamfafanulia nani ujumbe?
Je, ni wale walioachishwa kunyonya hivi karibuni,
Wale walioondolewa kwenye matiti hivi karibuni?
-