Isaya 28:17 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 17 Nami nitaifanya haki kuwa kamba ya kupimia+Na uadilifu utakuwa kifaa cha kusawazishia;*+Na mvua ya mawe itafagilia mbali kimbilio la uwongo,Na maji yatafurika mahali pa kujificha. Isaya Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 28:17 w11 1/15 3, 6-7 Isaya Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 28:17 Mnara wa Mlinzi,1/15/2011, kur. 3, 6-76/1/1991, kur. 19-20, 25
17 Nami nitaifanya haki kuwa kamba ya kupimia+Na uadilifu utakuwa kifaa cha kusawazishia;*+Na mvua ya mawe itafagilia mbali kimbilio la uwongo,Na maji yatafurika mahali pa kujificha.