Isaya 28:24 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 24 Je, mkulima huendelea kulima mchana kutwa kabla hajapanda mbegu? Je, huendelea kuyagongagonga mabonge ya udongo na kusawazisha shamba lake?+ Isaya Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 28:24 w01 10/1 11 Isaya Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 28:24 Ufahamu, uku. 649 Mnara wa Mlinzi,10/1/2001, uku. 11
24 Je, mkulima huendelea kulima mchana kutwa kabla hajapanda mbegu? Je, huendelea kuyagongagonga mabonge ya udongo na kusawazisha shamba lake?+