Isaya 29:4 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 4 Utashushwa chini;Utazungumza kutoka ardhini,Na mambo utakayosema yatakuwa mnong’ono kwa sababu ya mavumbi. Sauti yako itatoka ardhini+Kama sauti ya mtu anayewasiliana na roho,Na maneno yako yatatoka mavumbini kama sauti ya ndege. Isaya Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 29:4 ip-1 297 Isaya Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 29:4 Unabii wa Isaya 1, kur. 296-297
4 Utashushwa chini;Utazungumza kutoka ardhini,Na mambo utakayosema yatakuwa mnong’ono kwa sababu ya mavumbi. Sauti yako itatoka ardhini+Kama sauti ya mtu anayewasiliana na roho,Na maneno yako yatatoka mavumbini kama sauti ya ndege.