-
Isaya 31:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Kwa maana siku hiyo kila mmoja ataikataa miungu yake ya ubatili ya fedha na miungu yake ya dhahabu ambayo haina thamani, ambayo mikono yenu wenyewe ilitenda dhambi kwa kuitengeneza.
-