-
Isaya 33:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Lakini huko, yule Aliye Mkuu, Yehova,
Atakuwa kwetu eneo la mito, la mifereji mipana,
Ambako hakuna kundi la merikebu litakaloenda huko
Na hakuna meli za kifahari zitakazopita huko.
-