-
Isaya 34:1Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
34 Njooni karibu ili msikie, enyi mataifa,
Na msikilize, enyi watu.
Dunia na vyote vinavyoijaza na visikilize,
Nchi na mazao yake yote.
-