-
Isaya 34:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Jeshi lote la mbinguni litaoza kabisa,
Na mbingu zitakunjwa kama kitabu cha kukunjwa.
Jeshi lake lote litanyauka kabisa,
Kama jani lililonyauka linavyoanguka kutoka kwenye mzabibu
Na tini iliyonyauka kutoka kwenye mtini.
-