Isaya 34:14 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 14 Viumbe wa jangwani watakutana na wanyama wanaopiga mayowe,Na mbuzi wa mwituni* atamwita mwenzake. Naam, huko babewatoto atakaa na kupata mahali pa kupumzika. Isaya Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 34:14 ip-1 366-367 Isaya Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 34:14 Unabii wa Isaya 1, kur. 366-367 Usalama Ulimwenguni Pote, kur. 126-128
14 Viumbe wa jangwani watakutana na wanyama wanaopiga mayowe,Na mbuzi wa mwituni* atamwita mwenzake. Naam, huko babewatoto atakaa na kupata mahali pa kupumzika.