-
Isaya 34:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Nyoka-pili atatengeneza kiota chake huko na kutaga mayai,
Naye atayaangua na kuyakusanya katika kivuli chake.
Naam, vipanga watakusanyika huko, kila mmoja na mwenzake.
-