-
Isaya 36:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Basi, unawezaje kumzuia hata gavana mmoja aliye mdogo zaidi kati ya watumishi wa bwana wangu, huku ukiitumaini nchi ya Misri ili upate magari ya vita na wapanda farasi?
-