-
Isaya 36:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Sasa je, nimepanda kuja kuishambulia nchi hii ili kuiharibu bila kupewa idhini na Yehova? Yehova mwenyewe aliniambia, ‘Panda uende kuishambulia nchi hii na kuiharibu.’”
-