-
Isaya 36:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Lakini Rabshake akasema: “Je, bwana wangu amenituma niwaambie ninyi na bwana wenu tu maneno haya? Je, sipaswi kuwaambia pia wanaume wanaoketi ukutani, wale watakaokula kinyesi chao wenyewe na kunywa mkojo wao wenyewe pamoja nanyi?”
-