-
Isaya 37:27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
27 Wakaaji wake hawatakuwa na uwezo;
Wataogopeshwa na kuaibishwa.
Watakuwa kama mimea ya shambani na nyasi mbichi,
Kama nyasi zilizo kwenye paa zinazokaushwa na upepo wa mashariki.
-