-
Isaya 41:28Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
28 Lakini niliendelea kutazama, na hapakuwa na mtu;
Hakukuwa na mtu yeyote kati yao ambaye angetoa ushauri.
Nami niliendelea kuwaomba wanijibu.
-