Isaya 44:14 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 14 Kuna mtu ambaye kazi yake ni kukata mierezi. Huchagua mti wa aina fulani, mwaloni,Naye huuacha uwe imara kati ya miti ya msituni.+ Hupanda mlaurusi, na mvua huufanya ukue. Isaya Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 44:14 ip-2 67-68 Isaya Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 44:14 Unabii wa Isaya II, kur. 67-68
14 Kuna mtu ambaye kazi yake ni kukata mierezi. Huchagua mti wa aina fulani, mwaloni,Naye huuacha uwe imara kati ya miti ya msituni.+ Hupanda mlaurusi, na mvua huufanya ukue.