-
Isaya 45:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Kwa ajili ya mtumishi wangu Yakobo na Israeli niliyemchagua,
Ninakuita kwa jina.
Ninakupa jina la heshima, ingawa hukunijua.
-