-
Isaya 49:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Je, wale waliotekwa wanaweza kuchukuliwa kutoka kwa mtu mwenye nguvu,
Au, je, mateka wa mtu mkatili wanaweza kuokolewa?
-