Isaya 50:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Tazameni! Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova atanisaidia. Ni nani atakayenitangaza kuwa na hatia? Tazameni! Wote watachakaa kama vazi. Nondo* atawala. Isaya Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 50:9 w09 1/15 22; ip-2 161-163 Isaya Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 50:9 Mnara wa Mlinzi,1/15/2009, uku. 22 Unabii wa Isaya II, kur. 161-163
9 Tazameni! Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova atanisaidia. Ni nani atakayenitangaza kuwa na hatia? Tazameni! Wote watachakaa kama vazi. Nondo* atawala.