-
Isaya 51:1Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
51 “Nisikilizeni mimi, ninyi mnaofuatia uadilifu,
Ninyi mnaomtafuta Yehova.
Uangalieni mwamba ambao mlichongwa kutoka kwake
Na machimbo ambamo mlichimbwa kutoka ndani yake.
-