Isaya 51:17 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 17 Amka! Amka! Simama, Ee Yerusalemu,+Wewe ambaye umekunywa kutoka mkononi mwa Yehova kikombe chake cha ghadhabu. Umekunywa bilauri;Umemaliza kabisa kikombe kinachofanya watu wapepesuke.+ Isaya Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 51:17 ip-2 176 Isaya Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 51:17 Unabii wa Isaya II, uku. 176
17 Amka! Amka! Simama, Ee Yerusalemu,+Wewe ambaye umekunywa kutoka mkononi mwa Yehova kikombe chake cha ghadhabu. Umekunywa bilauri;Umemaliza kabisa kikombe kinachofanya watu wapepesuke.+