-
Isaya 51:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Kati ya wana wote aliowazaa hakuna hata mmoja aliye hapo ili kumwongoza,
Na kati ya wana wote aliowalea hakuna hata mmoja ambaye anamshika mkono.
-