- 
	                        
            
            Isaya 55:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
- 
                            - 
                                        10 Kwa maana kama mvua na theluji inavyomwagika kutoka mbinguni Nayo hairudi huko mpaka iiloweshe dunia na kuifanya izae na kuchipuka, Na kumpa mbegu mpandaji na mkate yule anayekula, 
 
-