-
Isaya 57:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
Upepo utazipeperusha zote mbali sana,
Zitapeperushwa na pumzi tu,
Lakini yule anayenikimbilia atairithi nchi
Naye ataumiliki mlima wangu mtakatifu.+
-