Isaya 58:1 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 58 “Ita kwa sauti yote kutoka kooni; usijizuie! Paza sauti yako kama pembe. Watangazie watu wangu uasi wao,+Na nyumba ya Yakobo dhambi zao. Isaya Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 58:1 ip-2 276-277 Isaya Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 58:1 Unabii wa Isaya II, kur. 276-277
58 “Ita kwa sauti yote kutoka kooni; usijizuie! Paza sauti yako kama pembe. Watangazie watu wangu uasi wao,+Na nyumba ya Yakobo dhambi zao.