-
Isaya 58:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Kufunga kwenu huishia kwenye ugomvi na vita,
Nanyi mnashambulia kwa ngumi ya uovu.
Hamwezi kufunga kama mnavyofanya leo na sauti yenu isikiwe mbinguni.
-