-
Isaya 59:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Wataliogopa jina la Yehova kuanzia magharibi
Na kuanzia mashariki watauogopa utukufu wake,
Kwa maana ataingia kama mto unaoenda kasi,
Ambao unaendeshwa na roho ya Yehova.
-