-
Isaya 64:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Kama moto unavyoteketeza vichaka,
Na moto huo unachemsha maji,
Basi jina lako litajulikana kwa maadui wako,
Na mataifa yatatetemeka mbele zako!
-