-
Isaya 66:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Kuna sauti ya ghasia kutoka jijini, sauti kutoka hekaluni!
Ni sauti ya Yehova akiwalipa maadui wake kile wanachostahili.
-