-
Isaya 66:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Kwa maana mtanyonya na kushiba kabisa maziwa ya titi lake la faraja,
Nanyi mtakunywa sana na kufurahia utukufu wake mwingi.
-