-
Isaya 66:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 “Kwa kuwa ninajua kazi zao na mawazo yao, ninakuja kuwakusanya watu wa mataifa yote na lugha zote, nao watakuja na kuuona utukufu wangu.”
-