Yeremia 5:1 Biblia TakatifuāTafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Tembeeni huku na huku katika barabara za Yerusalemu. Tazameni pande zote mwone. Tafuteni katika viwanja vyake vya jijiIkiwa mnaweza kumpata mtu anayetenda haki,+Yeyote anayejitahidi kuwa mwaminifu,Nami nitalisamehe jiji hilo.
5 Tembeeni huku na huku katika barabara za Yerusalemu. Tazameni pande zote mwone. Tafuteni katika viwanja vyake vya jijiIkiwa mnaweza kumpata mtu anayetenda haki,+Yeyote anayejitahidi kuwa mwaminifu,Nami nitalisamehe jiji hilo.