Yeremia 5:17 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 17 Watakula mavuno yenu na mkate wenu.+ Watawala wana wenu na mabinti wenu. Watayala makundi yenu na mifugo yenu. Wataila mizabibu yenu na mitini yenu. Watayaangamiza kwa upanga majiji yenu yenye ngome mnayoyatumaini.”
17 Watakula mavuno yenu na mkate wenu.+ Watawala wana wenu na mabinti wenu. Watayala makundi yenu na mifugo yenu. Wataila mizabibu yenu na mitini yenu. Watayaangamiza kwa upanga majiji yenu yenye ngome mnayoyatumaini.”