-
Yeremia 5:26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 Kwa maana kati ya watu wangu kuna watu waovu.
Wanaendelea kuchungulia, kama wawindaji wa ndege wanapochutama.
Wanatega mtego hatari.
Wanawanasa watu.
-