Yeremia 6:15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 15 Je, wanaona aibu kwa sababu ya mambo yanayochukiza waliyotenda? Hawaoni aibu hata kidogo! Hata hawajui jinsi ya kufedheheka!+ Basi wataanguka miongoni mwa wale walioanguka. Nitakapowaadhibu watajikwaa,” asema Yehova.
15 Je, wanaona aibu kwa sababu ya mambo yanayochukiza waliyotenda? Hawaoni aibu hata kidogo! Hata hawajui jinsi ya kufedheheka!+ Basi wataanguka miongoni mwa wale walioanguka. Nitakapowaadhibu watajikwaa,” asema Yehova.