Yeremia 10:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Mabamba ya fedha huletwa kutoka Tarshishi+ na dhahabu kutoka Ufazi,Kazi ya fundi, ya mikono ya mhunzi. Mavazi yao ni nyuzi za bluu na sufu ya zambarau. Vyote hutengenezwa na wafanyakazi stadi.
9 Mabamba ya fedha huletwa kutoka Tarshishi+ na dhahabu kutoka Ufazi,Kazi ya fundi, ya mikono ya mhunzi. Mavazi yao ni nyuzi za bluu na sufu ya zambarau. Vyote hutengenezwa na wafanyakazi stadi.