Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 15:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Nao wakikuuliza, ‘Twende wapi?’ unapaswa kuwaambia, ‘Yehova anasema hivi:

      “Yeyote aliyekusudiwa kufa kwa ugonjwa unaoua, na afe kwa ugonjwa unaoua!

      Yeyote aliyekusudiwa kufa kwa upanga, na afe kwa upanga!+

      Yeyote aliyekusudiwa kufa kwa njaa kali, na afe kwa njaa kali!

      Na yeyote aliyekusudiwa kwenda utekwani, na aende utekwani!”’+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki