-
Yeremia 15:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Ni nani atakayekuhurumia, Ee Yerusalemu,
Ni nani atakayekusikitikia,
Na ni nani atakayesimama ili kuuliza kuhusu hali yako?’
-