-
Yeremia 15:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Wajane wao watakuwa wengi mbele zangu kuliko mchanga wa bahari.
Nitaleta mwangamizaji dhidi yao wakati wa adhuhuri, dhidi ya akina mama na vijana.
Nitawaletea wasiwasi na hofu kwa ghafla.
-