-
Yeremia 15:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Kwa nini maumivu yangu ni ya kudumu na jeraha langu haliponi?
Linakataa kupona.
Je, utakuwa kwangu kama chanzo cha maji cha udanganyifu,
Ambacho hakiwezi kutegemeka?
-