-
Yeremia 16:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Kwa maana Yehova anasema hivi kuhusu wana na mabinti wanaozaliwa hapa na kuhusu mama zao wanaowazaa na kuhusu baba zao wanaowazaa katika nchi hii:
-