Yeremia 16:6 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 6 Wakubwa kwa wadogo watakufa katika nchi hii. Hawatazikwa,Hakuna mtu atakayewaombolezea,Wala hakuna mtu atakayejikatakata wala kujitia upara kwa ajili yao.*
6 Wakubwa kwa wadogo watakufa katika nchi hii. Hawatazikwa,Hakuna mtu atakayewaombolezea,Wala hakuna mtu atakayejikatakata wala kujitia upara kwa ajili yao.*